Popular Posts

Tuesday 30 June 2015

mmhh kwahali hii wanafunzi watasoma?????






IMEKUWA Taabia kwa baadhi ya walimu hasa wa shule za sekondary kuvaa mavazi  yasiyo kuwa na maadili hasa mbele ya wanafunzi na jamii kwa ujumla. tabia imepigwa maarufuku leo hii bungeni huko mjini dodoma. wakat mheshimiwa mary alipo akijibu swali la spika wa bunge la jamhuli  ya muungano...