HELLOW!!! WELCOME THIS IS AMAxc THE GLOBAL MEDIA AND NEWS SUPPLIERS!!! amaxc.blogspot.com
Popular Posts
-
Duh hii ni aibu kwelikweli kuona msomi ambaye anategemewa kama kiongozi wa kesho kufanya mambo ya ajabu namna hii .. haya ni ...
-
Hii ni picha ya moja kati ya wanachuo msichana akiwa hosteli na ..demu huyo sio siri anawachanganya wengi chuo hapo ikiwemo ma lectur....
-
Mrembo mwenye ushawishi mkubwa zaidi kwenye social media hapa Bongo, ambaye alishawahi kujinyakulia taji kubwa zaidi la ulimbwende hapa Bon...
-
Ikiwa leo ndio Uchaguzi wabunge wa Viti Maalum Kupitia Chama cha Mapinduzi Nchini katika Mkoa wa Singida Mgombea Wema Sepe...
-
Hz n baadh ya pcha za shilole akiwa na boy wake!! wakiwa kweny mapoz ya mahab ***** { clik here to see the video wakiwa wanaoga ...
-
john pombe magufuli Edward Ngoyai Lowassa. Uchunguzi uliofanywa na Timu ya Uwazi Mizengwe hivi karibuni na kuihusisha mikoa yote ya Ta...
-
Mwanamke aliye bambwa na sungusungu akifanya mapenzi kwenye kichaka na dereva wa teksi.Richard Bukos na Issa Mnally Mwanam...
-
Hzi n baadhi ya pcha za mastaa tofauti w KIKE hapa tz . sio siri n balaa coz sometmes najiuliza ! do they ril care???? ? ...
-
Kutoka kutangaza kutafuta mume Instagram hadi kukiri kumpenda Uhuru Kenyatta, Ray C anaendelea kutengeneza vichwa vya habari Afrika Masharik...
-
Blogu ya Wananchi Wednesday, August 19, 2015 TUJIKUMBUSHE HABARI KAMILI YA KAMATI TEULE YA BUNGE YA RICHMOND TAARIFA HII HAPA LIVE YA MWAKA ...
Monday 31 August 2015
amaxc blog:mama mzazi wa zari ametembelea ikulu kwa ze superstar &mkali waoo!!! platnumzzzz jioneee photozzz here
Mtoto Latiffah Nassib a.k.a Princess Tiffah anazidi
kuongeza ukaribu kati ya familia za wazazi wake,
Diamond pamoja na Zari.
Takribani wiki tatu baada ya Zari kujifungua, mama
yake mzazi amefunga safari kuja Tanzania
kumsalimia binti yake pamoja na kumuona mjukuu
wake.
Mama yake Zari akiwa amembeba Tiffah
Zari ameshare picha ya mama yake akiwa
amemtambelea nyumbani kwa Diamond akiwa
amembeba Tiffah na kuandika;
“Good morning, tag someone your blessed to have
in your life. Here is my mom and my daughter”
amaxc blog: kevin de bruyne kavunja rekodi ya raheem sterling!!! man city!!!(jionee pchazzzzz)
amaxc blog:haya hapa magazeti yote ya leo jumatatu 31/08/2015!!!! jionee yaliyo jili magazetin leooooo!!!
habar ya asubuhi mtu wangu!!!! n kutoka mwanza tz tayar nmekusogezea magazet yote ya leo bongo!!! jioneee hard news, udaku,michezo,siasa na nyngnezo nyngi!!!!kaz n kwako ndg!!!
*****thnkz alot mtu wangu!!! stay tuned to amaxc blog!!! ili uweze kupat updates nyng!!!!
Sunday 30 August 2015
amaxc blog: siku 3 kabla ya dirisha la usajili kufungwa!!!!! neymar amefunguka haya kuhusu kuhamia man united....
Michezo
Siku 3 kabla usajili kufungwa – Neymar ameyasema haya kuhusu kujiunga na Man United
Yakiwa yamebakia masaa takribani 72 kabla ya dirisha la usajili barani ulaya kufungwa, winga wa kibrazil Neymar ambaye amekuwa akihusishwa na kujiunga na Man United hatimaye ametoa kauli yake.
Akizungumza baada ya mchezo wa ushindi wa 1-0 wa Barcelona dhidi ya Malaga, Neymar alisema: ‘Ningependa na nataka kuendelea kubaki Barcelona, haijalishi ofa ya mamilioni mangapi ya paundi kutoka England,’ aliiambia TV3.
‘Watu wangu wa Barca wanaweza kutulia na kuwa na amani.
‘Pale ninaposikia tetesi za kuhama kwangu, huwa sifikirii chochote. Huwa nasikiliza kisha naendelea na shughuli zangu. Nina furaha sana kuwepo Barca na wachezaji wenzangu.’
Neymar, 23, anatarajia kuongezewa mkataba wa miaka 5 huku akiwa kipengele cha kuuzwa endapo timu inayomtaka italipa kiasi cha €250million (£182m).
Saturday 29 August 2015
amaxc blog: abiria apigwa risasi kweny daladala jijini dar!!!! siri nzito yafichuka....
*** Mtu mmoja amefariki dunia na mwingine kujeruhiwa wakati watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi waliposimamisha daladala eneo la Jangwani na kuingia ndani kupora mkoba unaosadikiwa kuwa na fedha.
Watu hao, waliokuwa na pikipiki aina ya boxer, walikuwa wakifuatilia basi hilo linalofanya safari zake kati ya Kariakoo na Mwenge na kulisimamisha eneo la Jangwani saa 7.30 mchana na baadaye kuwaamuru abiria wote wainame kabla ya kuelekea kiti cha nyuma alikokuwa amekaa mtu huyo aliyekuwa amebeba mkoba.
Mmoja wa abiria wa daladala hilo, Rehema Michael alisema wakati basi lao likiwa linaenda taratibu, alimuona mtu aliyekuwa amepakizwa kwenye pikipiki akishuka na kumfuata dereva na kisha kumuelekezea bastola usoni, akimtaka asimamishe gari.
Alisema dereva wao alitaka kukunja kona kuelekea Jangwani, lakini akatii amri na ndipo dereva wa bodaboda alipokwenda nyuma ya daladala na kumtaka mmoja wa abiria aliyekuwa amekaa nyuma ya daladala kutoa begi, huku mwingine akipiga risasi hewani, lakini hakupewa mkoba huo.
“Baada ya kuona yule abiria anakaidi agizo lao, mmoja wa majambazi hao alimpiga risasi ya kichwani na kifuani na kuanguka chini huku yule abiria mwenzake ambaye alipewa begi hilo alishike alilitupa chini na mmoja wa majambazi aliingia ndani ya daladala na kulichukua,” Hashim Ally.
Shuhuda mwingine, Richard Urio alisema wakati uvamizi huo ukitokea abiria walikuwepo ndani ya daladala hiyo akiwemo konda walilazimika kulala chini baada ya kusikia milio ya risasi zilizokuwa zikipigwa hewani, na kwamba baada ya kuchukua lile begi walimpiga risasi abiria mwingine ambaye alikuwa karibu na marehemu baada kuhisi alikuwa akizuia begi lisitolewe.
“Siti ya nyuma walikuwa wamekaa abiria wanne, na wawili kati yao walikuwa wamasai ambao mmoja wapo alikuwa amevaa begi mgongoni ambalo lilichukuliwa na majambazi baada ya kumuua mmoja wa wamasai huku mwingine akijeruhiwa na bastola shavuni,”Urio.
Shuhuda mwingine, Regina Mateso alisema yeye alipanda daladala hiyo eneo la Shakilango na kuwakuta wamasai hao ambao inasemakana walikuwa na fedha nyingi kutokana na maongezi yao.
“Wale wamasai walikuwa wanapigiana mahesabu na wapi kwa kwenda kubadilisha fedha. Yule aliyefariki alikuwa anamwambia mwenzake ukibadilisha hizi dola unapata Sh16 milioni, hivyo inawezekana wale abiria walikuwa na kiasi hicho cha fedha ambacho walikuwa wameweka katika begi la mgongoni,” Mateso.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Polisi Ilala, Lucas Mkondya alisema tukio hilo limetokea na wanalifanyia kazi .
“Na sisi polisi tumelipata sasa hivi ndio kwanza tunalifanyia kazi likikamilika tutatia taarifa,” Mkonya
amaxc blog: da origin of my tribe!!! (kurya~~wanchari-- tribe)!!
31 Mesongo 2008
30 Nginaro 2004
29 Ngiborya2000
28 Gichira 1996
27 Romole II1992
26 Romole I1988
25 Kehocha II1984
24 Kehocha I1980
23 Ngirabi II1976
22 Ngirabi I1972
21 Getang'osa II1968
20 Getang'osa I1964
19 Kehanga II1959
18 Kehanga I1954
17 Gitira 1949
16 Ngeresa 1944
15 Kenya 1938
14 Bhirisi 1932
13 Keha 1928
12 Kalamu 1922
11 Nyisandeko1916
10 Mesongo 1910
9 Nginaro 1904
8 Romole 1898
7 Kehocha 1892
6 Ngirabi 1886
5 Gichira 1880
4 Ngiborya1874
3 Getang'osa1868
2 Mahanga 1862
1 Kehanga 1856
In the next issue we will discuss how Wakuria name
their newbrns (Children)
amaxc blog: ninayo ratiba ya ligi kuu uingereza na hispania august 29 and 30!!!! jionee mtu wangu!!
Magazeti
Ninayo ratiba ya Ligi Kuu Uingereza na Hispania ya August 29 na 30 mtu wangu…..
Ligi Kuu mbili zinazopendwa zaidi ukanda wa Afrika Mashariki Ligi Kuu Hispania na Uingereza August 29 na 30 kuna michezo kadhaa inapigwa katika viwanja tofauti Hispania na Uingereza . Nakusogeza na ratiba za mechi zote za Laliga na EPL za weekend hii mtu wangu wa nguvu.
Fixtures
Hii ni ya Ligi Kuu Uingereza mtu wa
1.
Huu ni muda wa mechi za Ligi Kuu Uingereza kwa saa za Afrika Mashariki
1.Newcastle Vs Arsenal 14:45
2.Aston Villa Vs Sunderland 17:00
3.Bournemouth Vs Leicester 17:00
4.Chelsea Vs Crystal Palace 17:00
5.Liverpool Vs West Ham 17:00
6.Man City Vs Watford 17:00
7.Stoke Vs West Brom 17:00
8. Tottenham Vs Everton 19:30
Jumamosi August 30
9.Southampton Vs Norwich 15:30
10. Swansea Vs Man Utd 18:00
Hii ni ratiba ya Ligi Kuu Hispania Mtu wangu
2
Huu ni muda wa mechi hizo kwa saa za Afrika Mashariki mtu wangu
1.Real Sociedad Vs Sporting de Gijón 19:00
2.Barcelona Vs Málaga 21:30
3.Celta de Vigo Vs Rayo Vallecano 23:00
5.Real Madrid Vs Real Betis 23:30
amaxc blog: kimenuka zile stories kuwa tiffah si mtoto wa platnunz zimeibuka upya!!!!! zari aitwa kwao....
Subscribe to:
Posts (Atom)