Popular Posts

Monday 24 August 2015

amaxc blog: dr shein achukua form ya uraisi leo!!! jionee photozzzz

Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein akiwa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakisalimiana na Viongozi walipofika katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui kupata baraka za Wazee wa Chama kabla ya kuelekea kuelekea katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi ZEC Bwawani Hotel Mjini Unguja kuchukua fomu leo. Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein akiwa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakisalimiana na Viongozi walipofika katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui kupata baraka za Wazee wa Chama kabla ya kuelekea kuelekea katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi ZEC Bwawani Hotel Mjini Unguja kuchukua fomu leo.
Wananchi wa manispaa ya Mji wa zanzibar waliofirika katika kumshindikiza Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein akiwa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar kabla ya kuelekea katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi ZEC Bwawani Hotel Mjini Unguja kuchukua fomu leo.
Wapanda mapikipiki waliojitokeza kumshindikiza Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein akiwa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar katika maeneo ya Michenzanni Mjini Zanzibar kabla ya kuelekea katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi ZEC Bwawani Hotel Mjini Unguja kuchukua fomu leo,[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment