Popular Posts

Thursday 27 August 2015

amaxc blog: jionee alicho kifany christian ronaldo kwa mhanga huyu wa tetemeko la ardhi huko nepal!!!

Michezo Cristiano Ronaldo kafanya hili tena kwa muhanga wa tetemeko la ardhi Nepal (Picha) Mwezi April kulitokea tetemeko la ardhi Nepal ambalo liliua watu wapatao 9,000. Miongoni mwa watu waliokuwa wahanga wa tetemeko hilo ni kijana mwenye umri wa miaka 13 Jetin Shrestha ambaye wakati tukio hilo likitokea kijana huyo alikuwa akicheza mpira.
Ronaldo-main August 27 Cristiano Ronaldo karudi tena kwenye headlines na hii baada ya zile headlines za kutoa msaada wa maafa hayo kwa kutoa pound milioni 7, amemtumia Jetin Shrestha jezi ya Real Madrid aliyoisaini yenye namba saba na jina lake, Ronaldo tukio hilo baada ya miezi michache kupita toka atoe pound milioni 7 kwa wahanga wa tetemeko hilo.
“Nampenda Cristiano Ronaldo naipenda Real Madrid siku moja ningependa kucheza Real Madrid kwa sababu napenda mpira”>>> Jetin Shrestha

No comments:

Post a Comment