Popular Posts

Monday 24 August 2015

amaxc blog: viwanja 10 kati ya 54 ambavyo vipo kweny historia ya ligi kuu uingereza!!!! jionee photozzz

Michezo Viwanja 10 kati ya 54 ambavyo vipo katika historia ya Ligi Kuu Uingereza (Picha) Ikiwa zimepita siku kadhaa toka Ligi Kuu Uingereza ianze, nimeona nikusogezee viwanja 10 bora vinavyotumika na vilivyotumika katika historia ya Ligi Kuu Uingereza.
 10.
Goodison Park, Everton ni uwanaja unaotumiwa na klabu ya Everton ya Uingereza kama uwanja wa nyumbani toka mwaka 1992 una uwezo wa kuingiza watu 39,572 katika mechi moja  

9.
Craven Cottage ni uwanja wa nyumbani wa klabu ya Fulham wameutumia kama uwanja wa nyumbani kwa nyakati mbili tofauti toka mwaka 2001-2002 na 2004-2014 uwanja una uwezo wa kuchukua watu 25,700. 
 8.
Villa Park ni uwanja wa nyumbani wa Aston Villa toka mwaka 1992 na una uwezo wa kuchukua: 42,788 
 7.
A ground view of Stamford Bridge from the Matthew Harding Stand, Chelsea v Sunderland, Barclays Premier League, Stamford Bridge, London, Britain Chelsea v Sunderland, Barclays Premier League, Football, Stamford Bridge, London, Britain Stamford Bridge uwanja wa nyumbani wa Chelsea toka mwaka 1992 Uwezo wa mashabiki : 41,798
 6.
Arsenal_Stadium_Highbury_east_facade Highbury uwanja wa zamani wa Arsenal wameutumia toka mwaka 1992-2006 Uwezo wa kubeba mashabiki : 38,419
 5.
Etihad-ACTION_3390153k Etihad Stadium Uwanja wa Manchester City ambao wamekuwa wakiutumia toka mwaka 2003 Uwezo: 55,000 
 4.
Anfield-GETTY_3390124k Anfield ni uwanja wa Liverpool toka mwaka 1992 Uwezo: 45,522 
 3.
NEWCASTLE UPON TYNE, ENGLAND - MARCH 04: A general view inside the stadium prior to the Barclays Premier League match between Newcastle United and Manchester United at St James' Park on March 4, 2015 in Newcastle upon Tyne, England. (Photo by Laurence Griffiths/Getty Images) St James’ Park uwanaja wa nyumbani wa Newcastle United toka mwaka 1993-2009, 2010 hadi sasa Uwezo: 52,405 
 2.
HAWKES-EMIRATES-DN_2837290k Emirates Stadium Uwanja wa klabu ya Arsenal kwa mara ya kwanza wameutumia mwaka 2006 hadi sasa Uwezo : 60,432 
 1.
OldTrafford-GETTY_3390179k Old Trafford uwanja wa klabu ya Manchester United toka mwaka 1992 Uwezo: 75,731 CHANZO: telegraph.co.uk ******thnks mtu wangu!!! pamoko!!!

No comments:

Post a Comment