Popular Posts

Wednesday 19 August 2015

amaxc blog: hv ndivyo anavyo amini rafaeli benitez kuhusu kiwango cha gareth balle!!!! jionee hapa maneno hayoo!!!

Michezo Anachokiamini Rafael Benitez kuhusu kiwango cha Gareth Balle Kocha wa klabu ya Real Madrid ya Hispania Rafael Benitez ameamua kuingilia kati ishu inayoendelea kati ya mshambuliaji wa kimataifa wa Wales Gareth Bale na mashabiki ambao wamekuwa wakipiga kelele na kumzomea kufuatia kiwango cha chini wanachokiona akicheza.
Chelsea-Rafael-Benitez Rafael Benitez ameamua kumtetea staa huyo baada ya ushindi walioupata wa goli 2-1 katika mechi ya kirafiki kati ya Real Madrid dhidi ya klabu ya Galatasaray ya Uturuki siku ya Jumanne kwani mashabiki wa timu hiyo wanaamini staa huyo hafanyi vizuri kwa sasa na anacheza chini ya kiwango.
1802772_heroa Kufuatia maamuzi ya Benitez kumchezesha katikati staa huyo mwenye umri wa miaka 26 amekuwa na wakati mgumu wa kufanya vizuri katika kikosi hicho cha Santiago Bernabeu. Bale alianza kupata wakati mgumu kwa mashabiki wa klabu hiyo toka msimu wa 2014/2015.
Bale ambaye ameifungia Real Madrid magoli 13 katika mechi 31 za Laliga alikuwa pia ana uhusishwa kujiunga na klabu ya Man United ya Uingereza kabla ya taarifa kutoka katika klabu ya Real Madrid kuwa klabu hiyo haipo radhi kumruhusu winga huyo ahame ila Benitez bado anaamini nyota huyo atakuwa atafanya vizuri katika msimu wa 2015/2016.

No comments:

Post a Comment