Popular Posts

Tuesday 25 August 2015

amaxc blog: pchazzzz zilizo nifikia kuhusu ajali ya daladala leo jijini dar es saalam!!! jionee le majangazz

Moja ya matukio yaliyonifikia August 25 ni pamoja na hii ajali ya daladala linalofanya safari kati ya Tabata-Segerea- Mnazi Mmoja iliyotokea maeneo ya Tabata Matumbi. Shuhuda wa ajali hiyo amesema basi hilo lililokua likitokea mjini lilikikwepa lori na kudumbukia kwenye mtaro huku baadhi ya abiria wakijeruhiwa. Nimekuwekea hizi picha za tukio

No comments:

Post a Comment