Popular Posts

Saturday 22 October 2016

amaxc blog: the blog is still in perfomance

[image_0
what do you understand from the above photo!! can you give it a caption!!!!

Thursday 20 October 2016

amaxc blog: download amaxc blog application and have the news on your hand

I am sending you this application that you may be interested.

http://www.androidcreator.com/app197354..the application's icon has a photo of a korean super actor(lee min ho)

Sunday 7 August 2016

amaxc blog: Ex wa zari ze boss lady aibuka na kumtakia tiffah happybirthday ..ugomvi wa anza upya..


Mmoja kati ya watu ambao wamem-wish binti huyo ni Ex wa Zari, Ivan ambapo amemtakia binti huyo afya njema katika maisha yake. Lakini ujumbe huo umezua upya vuguvugu kwa mashabiki ambao bado wanaamini Tiffah 

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

amaxc blog: yajue mambo matano(5) muhimu wakat wa tendo la ndoa

swala la mapenz siku hizi limeonekana kuwa na uzito sana kwa pande zote mbili...nikimaanisha walioko kweny ndoa na pia wasio kweny ndoa....mbali na hilo kume kuwa na maswali mengi vichwani mwa watu kuhusu ni vitu gani hasa vifanyike wakat wa tendo la ndoa. leo naenda kuelezea ni vitu vipi vifanyike na vipi viepukike wakat wa ndoa.
1*jaribu kumfanya mwenza wako....

Monday 25 July 2016

amaxc blog:* busu ambalo ADELE alimpiga kijana wa NIGERIA..stejini...ndo habari ya mjini..jionee ilivyo kuwa

Adele amemsuprise kijana mwenye miaka 21 kutoka Nigeria kwenye show yake ya Vancouver, Canada.

adele-165279

Kijana huyo anayetumia jina la Wisdom kwenye mtandao wa Snapchat alijikuta akikosa la kuongea baada ya kujikuta akiwa juu ya steji huku mbele yake akiwa amesimama na hitmaker wa ‘Hello’.

Nigerian-man-with-Adele

Adele alimbusu kijana huyo na kisha alitania kwa kusema, “Oh my god, I haven’t been kissed by another man in like six years! He just snogged me!”

Tazama video hapa

Friday 22 July 2016

CHID BENZ afunguka mazito kuhusu joh makini na ney wa mitego.......hatareeeee


Rapper Chidi Benz amefunguka kwa kusema kuwa hakuna msanii wa Hip Hop ambaye amefikia mafanikio yake huku akidai Joh Makini na Nay wa Mitego wametengenezwa ili waje kulishika game la muziki.

Akiongea na Uhuru FM Alhamisi hii, Chidi Benz amedai mpaka sasa hakuna msanii ambaye ameweza kufanikiwa na kufikia mafanikio ambayo aliyafikia katika kipindi cha nyuma.

“Sijamsikia yule mtu ambaye anafanya matukio kama mimi, yakuwa na msafara wa gari kumi, kusafiri kwenye show na watu 30, ukasikia watu 7 wamezimia kwenye show, bado sijawai kusikia matukio kama hayo labda bwana Joh Makini amefanya show Arusha wakazimia watu 9?,” alisema Chidi Benz.

“Lakini nawasikia hao, kama Joh Makini namsikia na namuona kwenye muziki huu the way wametengeneza yeye ndo awe ameshika hili game, lakini hana nguvu, sisemi hivyo kama namblock hapana, hata mashabiki wake ambao wananisikiliza wamwambie nakubali hapo alipo na watu wamekutengeneza wewe ukae pale na hauna nguvu yakusema mimi ni Joh Makini, najua ni msanii mzuri lakini mimi ni The King Kong,”

Aliongeza, “Kwa hiyo wapo wasanii wengi wametengenezwa, mfano Nay wa Mitego pia, ni kitu fulani kimetengenezwa. Shetta hafadhali toka ameanza kutoka alikuwa anatengenezwa ili afanye game yake,”

Rapper huyo kwa sasa anafanya poa na wimbo wake mpya ‘Chuma’ aliyomshirikisha msanii kutoka WCB, Raymond.
Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook

TCU YAVITUMBUA VYUO 6 VINGINE; VYA ZUIWA KUFANYA KABISA UDAHILI..>>>


Tume ya vyuo vikuu nchini TCU, imevizuia vyuo sita nchini kufanya udahili wa wanafunzi kwenye msimu wa masomo wa 2016/17.

WAZIRI-WA-ELIMU
Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Profesa. Joyce Ndalichako (Kulia)
Tume ya vyuo vikuu nchini TCU, imevizuia vyuo sita nchini kufanya udahili wa wanafunzi kwenye msimu wa masomo wa 2016/17.
Hatua hiyo imechukuliwa na tume hiyo kutokana na vyuo hivyo kutokidhi viwango vya elimu vilivyokuwa vikiitoa.

Vyuo hivyo ni pamoja na:

1. International Medical and Technological University (IMTU) – all programmes.
2. St. Francis University College of Health and Allied Sciences (SFUCHAS) – all programmes.
3. University of Bagamoyo (UoB) – all programmes.
4. St. Joseph University College of Engineering (SJUCET) – all programmes.
5. University of Dodoma (UDOM) – Doctor of Medicine Programme
6. State University of Zanzibar (SUZA). – Doctor of Medicine Programme

BELLA KUWEKA HISTORIA LEO DODOMA>> KUKIWASHA ROYAL VILLAGE.....



BELLA KING of The Best Melodies, Christian Bella ‘Obama’ leo anatarajiwa kuweka historia kwa kufanya bonge moja la shoo ndani ya Ukumbi wa Royal Village, Dodoma.

Akizungumza na Mtandao wa Global Publishers mratibu wa shoo hiyo, Renatus Gregory alisema kuwa kila kitu kimekamilika na kinachosubiriwa ni shoo ya kihistoria sambamba na sapraizi kibao.
“Njooni tuweke historia pamoja ambapo kutakuwa pia na DVD za maisha ya Bella kimuziki kwa muda wa miaka 10 tangu aingie nchini.
“Shoo itakuwa ni ya Live
kwa kutumia vyombo, nina imani mashabiki watafurahia kwani pia Malaika Band itaambatana na Bella,” alisema Renatus.
Mashabiki watatakiwa kulipia kiingilio kiduchu cha shilingi 30,000 kwa VIP na kawaida shilingi 10,000.
Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook

TAARIFA ZA SHOGA KUMDAI BARAKA DA PRINCE.....UKWELI WOTE HUU HAPA

Baraka da Prince na Naj (Mpenzi wake)
Wiki hii Baraka da Prince alipata scandal nzito, baada ya page moja yaInstagram inayotumia jina la Kaoge kumtaja msanii huyo kuwa anadaiwa mtonyo flani na katika kumkwepa mdaiwa wake ameamua kumblock Kaoge.Account hiyo ikazidi kudai kuwa itafichua msg zote walizowahi kuandikiana naBaraka da Prince.

Baada ya Kimbembe hicho Baraka da Prince ameamuakuchukua hatua hizi hapa Msikilize kwenye Audio hapo chini.