Popular Posts

Tuesday 21 July 2015

AMAxc BLOG: BAADA YA RAY C KUPOST MITANDAONI KUWA ANAMZIMIA RAIS UHURU WA KENY!!!! CHEKI ALIVYO JIBIWA NA TV ZA KENY!!!!!

Kutoka kutangaza kutafuta mume Instagram hadi kukiri kumpenda Uhuru Kenyatta, Ray C anaendelea kutengeneza vichwa vya habari Afrika Mashariki.Weekend hii muimbaji huyo ambaye jina lake halisi ni Rehema Chalamila, ameamua kufunguka hisia zake juu ya Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta.
“Lemme tell u a lil secret about Uhuru!!!!I love this guy to death!I have had a crush on him for soooooo long!!!huwa namuota sana sana!!!!I love everything about him!His Attitude, His accent!Total Package,” aliandika Ray C.

BOFYA KUONA ALICHOJIBIWA RAY C

No comments:

Post a Comment