Popular Posts

Thursday 30 July 2015

BREAKING NEWZzzz: LOWASA AWASILI OFISI KUU ZA CHADEMA KUCHUKUA FORM YA URAISI RASMI!!!! JIONEE HAPA

Mh Edward Lowasa akipokewa kwa shangwe na vigeregere wakati alipowasili muda si mrefu katika Makao Makuu ya Chama Cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema) kwaajili ya kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kupeperusha
bendera ya Chadema na Ukawa kwaajili ya Uchaguzi Mkuu ujao October 2015. 

BOFYA KUONA PICHA ZOTE

wanachama wa chadema wakiwa nje ya ofisi kuu kumpokea lowassa akichukua form tayari kwa kugombea uraisi!!$

No comments:

Post a Comment