Popular Posts

Tuesday 21 July 2015

BREAKING NEWS: LOWASA ATIA TIMU RASMI UKAWA!!! MBOWE ATHIBITISHA!!!!

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amemkaribisha Edward Lowassa kujiunga na CHADEMA, amesema CHADEMA hakibagui Mtanzania yeyote.
-Amesema mgombea atakayewakilisha UKAWA ndiye atakayekuwa Rais kwenye uchaguzi wa Oktoba mwaka huu

BOFYA KUONA PICHA ZAIDI ALIKPOKELEWA RASMI

No comments:

Post a Comment