Popular Posts

Friday 31 July 2015

AMAxc BLOG: VIKWAZO VIPYA SAFARI YA MATUMAINI!!!!

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (wa pili kushoto) akimkabidhi Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa fomu za kugombea urais kupitia chama hicho jana kwenye ofisi za makao makuu ya Chadema jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Regina ambaye ni mke wa Lowassa, na kulia ni Naibu Katibu MKuu wa Chadema (Zanzibar), Salum Mwalimu. Picha na Edwin Mjwahuzi Waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa jana alichukua fomu za kuomba ridhaa ya Chadema kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano, lakini anakabiliana na vikwazo vinne kabla hajafanikiwa kuongoza upinzani kutwaa madaraka kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi.. clik hapa uone video ya lowasa akipokelewa ukawa

No comments:

Post a Comment