Popular Posts

Tuesday 21 July 2015

AMAxc BLOG: HATIMAYE IRENE UWOYA ACHUKUA FORM YA UBUNGE!!! HEBU JIONEE MAJANGAZ!!!

Haya kamanda UWOYA anaonekana akichukua fomu ya kuwania viti maalum vya ubunge huko tabora kwa tiketi ya CCM ,
twakutakia mafanikio mema katika safari yako ya kwenda kwa kuwatumikia wanamchi wa TABORA bungeni watanzania wanajua uwezo wako na wanakusubilia jumba jeupe tu pale pale wanapopalilia wengi kwenda

No comments:

Post a Comment