Popular Posts

Saturday 25 July 2015

AMAxc BLOG: AAH!! HEBU TUMPE POLE WEMA SEPETU COZ KILICHO MKUTA SINGIDA!!!! HEBU JIONEE HAPA!!!!

wema sepetu aambulia za mbav!!!!  heb cheki klicho mkuta!!



Naomba kuchukuwa fursa hii kumpongeza @wemasepetu kwa uthubutu wake wa kutia nia katika harakati za kutaka kuwatumikia wananchi wa Singida lakini kwakuwa katika mashindano kuna kushinda na kushindwa kuwa nafas ya nne sio mbaya katika siasa jipange upya miaka mitano ijayo si mbali panapo uhai naamini huwezi rudi nyuma na usikatishwe tamaa kwa matokeo ya mwaka huu unarudi Dar na kasi ya hatari

1. AYSHAROSE MATTEMBE KURA 311
2. MARTHA MLATA KURA 235
3. DIANA CHILOLO KURA 182
4. WEMA SEPETU KURA 90

No comments:

Post a Comment