Popular Posts

Friday 31 July 2015

AMAxc BLOG: MMH HEBU MCHEKI HUYU SISTER ALIVYO JITOA UFAHAMU!!! AMAZING!!!

Huyu n star flan hiv huko majuu!! ambapo juz kat ameoneka katka moja ya sehemu za starehe akiwa ametupia pouzi flan hiv amazing!!!
duh hyo #####W*-

AMAxc BLOG: VIKWAZO VIPYA SAFARI YA MATUMAINI!!!!

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (wa pili kushoto) akimkabidhi Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa fomu za kugombea urais kupitia chama hicho jana kwenye ofisi za makao makuu ya Chadema jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Regina ambaye ni mke wa Lowassa, na kulia ni Naibu Katibu MKuu wa Chadema (Zanzibar), Salum Mwalimu. Picha na Edwin Mjwahuzi Waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa jana alichukua fomu za kuomba ridhaa ya Chadema kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano, lakini anakabiliana na vikwazo vinne kabla hajafanikiwa kuongoza upinzani kutwaa madaraka kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi.. clik hapa uone video ya lowasa akipokelewa ukawa

AMAxc BLOG: MAGAZETI YA LEO IJUMAA 31/07/2015!! KAZ N KWAKO!!

habar za asubuh wadau!! kama kawa take muda kdogo ujue headlines tofautz ambazo zime hit asubuh ya leo!! mm kawa kawa sitaki upitwe na chochote sawa?? naona kuna mtu kasema saaawa!!
ok endelea...



































































i hope yu enjoyed alot!! endelea kuitangaza amaxc the free news and media blog!!

AMAxc BLOG: MREMBO ALIYE TKISA MITANDAONI ASUBUHI YA LEOOO!!! NSHDAAH

huyu ndo ze babby aliye kmbza saaan mitandaoni!! labda nkuulize ww mdau wangu is she lookng beautiful??

clik hapa ujionee video ya mrembo huyu akioga bafuni

AMAxc BLOG: MAMA DIAMOND >>>MUNGU MKUBWA!! UNAJUA KWANN JIONEE HAPA

MUNGU mkubwa! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia siha ya mama mzazi wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kassim ‘Sandra’ ambaye kwa sasa yupo fiti baada ya kuugua kwa muda mrefu.



Mwaka jana, mama Diamond aliripotiwa
kushambuliwa na maradhi yaliyoashiria kupooza hadi kufikia hatua ya kwenda kutibiwa India kisha kurudishwa nchini akiwa bado hajapona vizuri.
Chanzo kilicho karibu na familia ya staa huyo kilieleza kuwa, ugonjwa huo ambao ulimfanya ashindwe kutembea vizuri, ulimsumbua kwa kipindi kirefu lakini kwa sasa wanamshukuru Mungu, mama huyo anaweza kutembea mwenyewe na kuendelea na shughuli zake za kila siku.



“Wee ile ilikuwa hatari, ameumwa sana jamani mama Diamond. Hadi hatua hii ambayo amefikia kwa sasa, kwa kweli tunapaswa kumshukuru sana Mungu, ameteseka vya kutosha, sasa hivi ukimuona, shavu dodo,” kilisema chanzo hicho.
Mwanahabari wetu baada ya kupenyezewa habari hiyo, hivi karibuni alitumiwa picha ya mama Diamond akiwa fiti akitembea barabarani akifanya shughuli zake za kila siku.



Jitihada za kumpata mama Diamond azungumzie uzima wake hazikuzaa matunda kufuatia simu yake ya mkononi kutokuwa hewani lakini Diamond alipatikana na kusema yeye pamoja na bebi wake, mama kijacho, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ wanamshukuru Mungu kwani sasa mama yao yuko vizuri kiafya.


Mama ndiyo faraja yangu siku zote. Kwa kumuona hivi mzima sasa hivi, mimi na bebi wangu (Zari) tuna amani na tunamshukuru sana Mungu, mama anatembea na kufanya shughuli zake kama zamani,” alisema Diamond

AMAxc BLOH: HATIMAYE BRAZA WAKE ZARI AMCHUMBIA LINNAH!! JIONEE HAPA

Mbongo Fleva, Esterlina Sanga ‘Linah’ na mchumba wake ambye ni kaka za Zari, Wiliam Bugene ‘Boss Mtoto’. Hatimaye staa wa Bongo Fleva ambaye ni zao la Nyumba ya Vipaji Tanzania (THT), Esterlina Sanga ‘Linah’ amechumbiwa rasmi na yule jamaa wake, Wiliam Bugene ‘Boss Mtoto’ ambaye ni kaka kiukoo wa mpenzi wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady.’
Akizungumza na Amani kwenye mahojiano maalum alipotimba katika Tamasha la Filamu la Kimataifa (ZIFF), Zanzibar hivi karibuni, Linah alisema kuwa ana furaha maishani mwake kwa kumpata mtu mwenye mapenzi ya kweli ambaye atafunga naye ndoa ‘soon’.
“Tayari ameshanichumbia, anajulikana kwetu na mimi najulikana kwao. Kifuatacho ni ndoa yangu,” alisema Linah ambaye hivi karibuni amesema ataachia wimbo mpya utakaokuwa gumzo. Furaha ya Linah inakuja kufuatia kumpata mwanaume huyo ambaye amekuwa akionekana naye kila kiwanja wakiwa wamegandana kimahaba ikiwa ni miezi kadhaa tangu alipodai kuporwa bwana’ke, Nagari Kombo anayedaiwa kakwapuliwa na Wema Sepetu. Kabla ya Boss Mtoto na Kombo, huko nyuma Linah aliwahi kuripotiwa kuwa kwenye uchumba ‘serious’ na msanii mwenzake, Amini Mwinyimkuu.
SOURCE:GPL