Popular Posts

Monday 20 July 2015

AMAxc BLOG: Duh MMAREKANI NE- YO AMPIGIA SALUTI SUPER STAR DIAMOND PLATNUMZ!!! CHEKI HAPA ILIVYO KUWA!!!!!

kijana kutoka Tandale, Dar es Salaam, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumzakiwa naNe-yo’.
KIWANGO! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia staa mkubwa duniani, Shaffer Chimere Smith ‘Ne-yo’ kuukubali uwezo wa kimuziki alionao kijana kutoka Tandale, Dar es Salaam, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Ijumaa Wikienda linakupa mchapo kamili.
Kabla ya Mmarekani huyo aliyewahi kutamba na Wimbo wa Miss Independent kuukubali uwezo wa Diamond, mastaa mbalimbali wa Afrika wakiwamo David Adedeji AdelekeDavidona P-Square (Peter na Paul Okoye) wa Nigeria, kwa nyakati tofauti waliwahi kuripotiwa kwenye vyombo vya habari wakiguswa na uwezo wake na kuamua kufanya naye kolabo.

No comments:

Post a Comment