Popular Posts

Monday 28 September 2015

amaxc blog: magazet ya leo jumatatu 28/09/2015!!!! haya hapa...jionee headlines tofaurzzzz

kutoka mwanza tanzania habar ya asubuhi mtu wangu ...ni September 28 2015 ninazo tayari stori kubwakubwa kwenye kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania >>> Udaku, Hardnews na Michezo. Jumla ya Magazeti 20 ya Tanzania tayari yamenifikia leo, nimekusogezea uzipate kurasa zake za mbele na za nyuma zilizobeba stori kubwa kwa leo
*** *****sante xan wadau wangu!!!! asubuh njema...

Sunday 27 September 2015

amaxc blog: magazet ya tz leo jumapili 27/09/2015!!! kaz n kwako!!!

Kutoka mwanza Tanzania leo Jumapili Septemba 27, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Michezo na Hardnews, zote ziko hapa
*****asanten wote!!!! bye...bye

Saturday 26 September 2015

amaxc blog: team leader on my way to sesesco!!!..

klik here to see my whole journey mpaka nlivyofka sesesco

amaxc blog: magazet ya bongo leo jumamosi 26/09/2015....jionee hot newzzz zlizo make headlines kweny magazet

kutoka mwanza tanzania- uhali gani mdau wangu!!!!! zkiwa zmesalia siku 28 leo n September 26 2015 ninazo tayari stori kubwakubwa kwenye kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania >>> Udaku, Hardnews na Michezo. Jumla ya Magazeti 14 ya Tanzania tayari yamenifikia leo, nimekusogezea uzipate kurasa zake za mbele na za nyuma zilizobeba stori kubwa kwa leo.
*******;;asante sana mtu wangu kwa leo kweny magazet bye..bye