Popular Posts

Monday 21 September 2015

amaxc blog: super star huko mbele(majuu) alilia mtoto!!!!! jionee zito alilolisema livee

Katika maisha ya mwanadam na haswa msichana huwezi ukawa katika mfumo mmoja wa maisha, kuna kipindi kikifika ni lazima ubadilike na haswa uanzishe familia yako binafsi naamanisha upate mume na mtoto haswa sasa basi super model wa kimataifa Tyra Banks amejikuta akimwaga chozi na kusema kwamba december anafikisha umri wa miaka 42 ila jitihada zake za kutafuta mtoto zimeshindikana, ewe mwanadada haswa binti ambaye umri wako ni mdogo usiingie katika ushetani na ukatoa mimba kwani hujui huko mbeleni itakuwaje, sisemi kwamba wote wenye matatizo ya kutopata mtoto ni kwamba walitoa mimba hapana bali wengi wenye matatizo hayo walitoa mimba katika ujana wao, sasa basi si mbaya tukawaasa wadogo zetu kwamba wa epuke na hio tabia kwani baadae watajiletea madhara makubwa.....
epuka kudanganyika na mwanaume kwamba mfanye abortion , wanaume hawana maana anaweza akakudanganya na baadaye asikuoe na akapata mtu mwingine wakati wewe umeshaharibikiwa kwanza tujadiliane ni wanawake wangapi yamewakumbwa na haya ya kudanganywa na ma hubby kutoa mimba na baadaye kutofanikiwa kupata mtoto na so called hubby akakukimbia na ukabaki na tatizo ambalo mpaka leo linakutesa na kulijutia?

No comments:

Post a Comment