Popular Posts

Thursday 24 September 2015

amaxc blog:aibu!!!!!! Celta Vigo Vs FC Barcelona matokeo ni haya, video ya magoli na pichaz zipo hapa mtu wangu

Michezo: Celta Vigo Vs FC Barcelona matokeo ni haya, video ya magoli na pichaz zipo hapa mtu wangu Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Hispania FC Barcelona September 23 walikaribishwa na klabu ya Celta Vigo katika uwanja wake wa nyumbani Estadio de BalaĆ­dos, ikiwa ni muendelezo wa mechi za Ligi Kuu Hispania. FC Barcelona ikiwa na nyota wake kadhaa imekubali kipigo cha goli 4-1 dhidi ya klabu ya Celta Vigo. 489675550-e1443038326217 Hadi kipindi cha kwanza kinamalizika klabu ya FC Barcelona ilikuwa nyuma kwa goli 2-0, mechi ambayo ilimalizika kwa klabu ya FC Barcelona kutoka vichwa chini kwa kipigo cha jumla ya magoli 4-0 dhidi Celta Vigo, magoli ya Celta Vigo yalifungwa na Nolito dakika ya 26, Iago Aspas dakika ya 30 na 56 huku goli la mwisho lilifungwa na John Guidetti dakika ya 83 baada ya Neymar kuifungia FC Barcelona goli la kufutia machozi dakika ya 80.

No comments:

Post a Comment