
First eleven ya timu zote mbili Taifa Stars Vs Nigeria ipo hapa…
Kabla ya mechi kuanza naomba nikusogezee first eleven ya timu zote mbili. Taifa Stars Vs Nigeria, mechi itakayopigwa muda mchache kuanzia hivi sasa uwanja wa Taifa Dar Es Salaam.

Kikosi cha Taifa Stars
DSC_8433

Kikosi cha Nigeria Super Eagles
DSC_8443

Hii Line Up ya Timu zote mbili
No comments:
Post a Comment