Popular Posts

Monday 21 September 2015

amaxc blog: FC BARCELONA V/S LEVANTE!!!!matokeo uliyapata??? nnayo hapa...(photozz)

Michezo: FC Barcelona Vs Levante matokeo ninayo hapa (+Pichaz&Video) Klabu ya FC Barcelona imeshuka dimbani September 20 kucheza mechi dhidi ya klabu ya Levante katika uwanja wa nyumbani wa FC Barcelona Nou Camp. Wababe hao wa Hispania hadi kipindi cha kwanza kinamalizika, mchezo ulikuwa suluhu kwani Levante walifanikiwa kujilinda wasifungwe goli.
Mechi imemalizika kwa klabu ya FC Barcelona kuibuka na ushindi wa goli 4-1, magoli ya FC Barcelona yamefungwa na Marc Bartra dakika ya 50, Neymar dakika ya 56, Lionel Messi ambaye alipata nafasi ya kupiga penati mbili na kushinda moja, amefunga magoli mawili dakika ya 61 na 90, goli pekee la Levante limefungwa na Victor Casadesus dakika ya 66 ya mchezo

No comments:

Post a Comment