Popular Posts

Thursday 24 September 2015

amaxc blog: mama na mwana wajifungua watoto kutoka kwa baba mmoja!!!!!! na mwezi mmoja!!! duh jionee wap hyooi

Mama na mwana wakiwa wamebeba watoto wao Mama na mwana wajaliwa kupata watoto kwa mwezi mmoja na kwa baba mmoja. Mwanamke kutoka Afrika Kusini, Mildred Mashego na binti yake Patricia, wameingia kwenye vitabu vya kumbukumbu kama mama wa kwanza na binti wa kuzaa kupata watoto kwa mwezi mmoja na kwa baba mmoja. Pia wote wawili wamejaliwa kupata watoto wa kiume huku Patricia akimtangulia mama yake siku nne kujifungua.

No comments:

Post a Comment