Popular Posts

Wednesday 16 September 2015

amaxc blog: hii hapa list ya marais 10 wa afrika wanao ongoza kuwa na umri mkubwa!$!!!!!!!!!!! jionee pchazz liveeee

Kuna stori za baadhi ya Viongozi wa Africa kung’ang’ania kukaa madarakani hata baada ya vipindi vyao vya uongozi kuisha, pia wako ambao wanaendelea kuongoza kihalali kutokana na mabadiliko ambayo wameyafanya kwenye Katiba ili waendelee kuongoza !! Siku chache zilizopita nilikusogezea stori kuhusu Rais mwenye umri mdogo kuliko wote Duniani, leo nakupa hii toka ndani ya Africa… unajua Marais wanaoongoza kwa kuwa na umri mkubwa? List niko nayo hapa mtu wangu, kila mmoja na picha yake kabisa !! rais
1. Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe ana miaka 91, ndiye Rais mzee kuliko wote, ameshinda urais kwa muhula wa saba
2. Beji Caid Essebsi-Ana miaka 88, amekua Rais wa Tunisia tangu Desemba 31 2014 biya
3. Rais Paul Biya wa Cameroon ana miaka 82, ameingia madarakani tangu mwaka 1982 alge
4. AbdelAziz Boeteflika ni Rais wa Algeria toka April 1999, ana miaka 78 gine
5. Rais wa Guinea Alpha Conde ana miaka 77, amekua madarakani tangu December 2010 da
6. Rais wa visiwa vya Sao Tome, Manuel Pinto da Costa ana miaka 77, aliingia madarakani tangu mwaka 2011
7. Rais wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf ana miaka 76, aliingia madarakani tangu Januari 2006 muth
8. Rais wa Malawi, Peter Mutharika ana miaka 74, aliingia madarakani May 2014 ivoo
9. Rais wa Ivory Coast, Alassane Ouattara ana miaka 73, aliingia madarakani tangu mwaka 2011 zzzzz
10. Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ana miaka 73, aliingia madarakani tangu May 9, 2009

No comments:

Post a Comment