Blogu ya Wananchi Wednesday, August 19, 2015 TUJIKUMBUSHE HABARI KAMILI YA KAMATI TEULE YA BUNGE YA RICHMOND TAARIFA HII HAPA LIVE YA MWAKA ...
Sunday, 20 September 2015
amaxc blog: matokeo ya man city v/s west hamm yako hapa!$! jionee pchazzzz
Michezo:
Matokeo ya Man City Vs West Ham United yapo hapa (+Pichaz&Video)
Klabu ya Manchester City ya Uingereza September 19 imeikaribisha klabu ya West Ham United katika uwanja wake wa nyumbani Etihad kucheza mechi ya muendelezo wa Ligi Kuu soka Uingereza… Man City ikiwa katika uwanja wake wa nyumbani kucheza mchezo wake wa sita wa Ligi Kuu imekubali kipigigo kutoka kwa West Ham United.
Manchester City ambayo iliingia uwanjani ikiwa na rekodi nzuri toka kuanza kwa Ligi Kuu msimu huu, kwani kabla ya kucheza mechi dhidi ya West Ham ilikuwa imecheza mechi tano na kushinda zote, September 19 imepokea kipigo cha goli 2-1 kutoka kwa West Ham United, magoli ya West Ham yakifungwa na Victor Moses dakika ya 6 na Diafra Sakho dakika ya 31 ya mchezo huku goli pekee la Man City likitiwa wavuni na Kevin de Bruyne dakika ya 45.
No comments:
Post a Comment