Popular Posts

Tuesday 15 September 2015

amaxc blog: nmekusogezea ratiba ya mechi za mabingwa ulaya september 15..!!! isikupite hii mtu wangu!!!

comments Baada ya kupangwa kwa makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya na Shirikisho la soka barani Ulaya (UEFA) siku kadhaa nyuma, September 15 na 16 ni siku ambazo michezo ya hatua ya makundi ya mechi hizo zitaanza kupigwa. Kama kawaida muda wa michuano hiyo haujabadilika upo kama tulivyozoea mechi zote za September 15 na 16 zitachezwa saa 21:45 kwa saa za Afrika Mashariki. 
 Hii ni ratiba ya mechi za September 15
 Kundi A
 Paris Saint Germain Vs Malmoe FF
 Real Madrid Vs Shaktar Donetsk
 Kundi B 
 PSV Eindhoven Vs Manchester United Wolfsburg Vs CSKA Moscow 
Kundi C 
 Benfica Vs FC Astana
 Galatasaray Vs Atletico Madrid
 Kundi D
 Manchester City Vs Juventus
 Sevilla Vs Borussia Moenchengladbach

 Mechi za September 16
 Kundi E 
 Bayer Leverkusen Vs BATE Borisov Roma Vs FC Barcelona
 Kundi F 
 Dinamo Zagreb Vs Arsenal
Olympiakos Vs Bayern Munich
 Kundi G
 Chelsea Vs Maccabi tel Aviv

 Dynamo Kyiv Vs FC Porto
 Kundi H 
 Gent Vs Lyon 
 Valencia Vs Zenit St Petersburg

No comments:

Post a Comment