HELLOW!!! WELCOME THIS IS AMAxc THE GLOBAL MEDIA AND NEWS SUPPLIERS!!! amaxc.blogspot.com
Popular Posts
-
Duh hii ni aibu kwelikweli kuona msomi ambaye anategemewa kama kiongozi wa kesho kufanya mambo ya ajabu namna hii .. haya ni ...
-
Hii ni picha ya moja kati ya wanachuo msichana akiwa hosteli na ..demu huyo sio siri anawachanganya wengi chuo hapo ikiwemo ma lectur....
-
Mrembo mwenye ushawishi mkubwa zaidi kwenye social media hapa Bongo, ambaye alishawahi kujinyakulia taji kubwa zaidi la ulimbwende hapa Bon...
-
Ikiwa leo ndio Uchaguzi wabunge wa Viti Maalum Kupitia Chama cha Mapinduzi Nchini katika Mkoa wa Singida Mgombea Wema Sepe...
-
Hz n baadh ya pcha za shilole akiwa na boy wake!! wakiwa kweny mapoz ya mahab ***** { clik here to see the video wakiwa wanaoga ...
-
john pombe magufuli Edward Ngoyai Lowassa. Uchunguzi uliofanywa na Timu ya Uwazi Mizengwe hivi karibuni na kuihusisha mikoa yote ya Ta...
-
Mwanamke aliye bambwa na sungusungu akifanya mapenzi kwenye kichaka na dereva wa teksi.Richard Bukos na Issa Mnally Mwanam...
-
Hzi n baadhi ya pcha za mastaa tofauti w KIKE hapa tz . sio siri n balaa coz sometmes najiuliza ! do they ril care???? ? ...
-
Kutoka kutangaza kutafuta mume Instagram hadi kukiri kumpenda Uhuru Kenyatta, Ray C anaendelea kutengeneza vichwa vya habari Afrika Masharik...
-
Blogu ya Wananchi Wednesday, August 19, 2015 TUJIKUMBUSHE HABARI KAMILI YA KAMATI TEULE YA BUNGE YA RICHMOND TAARIFA HII HAPA LIVE YA MWAKA ...
Friday 25 September 2015
amaxc blog: Jose Mourinho kukumbana na adhabu hii baada ya kumbagua kijinsia daktari wa Chelsea..
Michezo:
Jose Mourinho kukumbana na adhabu hii baada ya kumbagua kijinsia daktari wa Chelsea..
Bado ile ishu ya daktari wa Chelsea na kocha wa timu hiyo Jose Mourinho inazidi kuingia katika headlines licha ya awali kuonekana kama imeisha vile. Baada ya daktari wa Chelsea Eva Carneiro kusimamishwa kutoa huduma katika kikosi cha Chelsea kutokana na Mourinho kumlaumu, kwa sababu aliingia uwanjani kumtibia Eden Hazard wakati wa dakika za lala salama hivyo Mourinho aliona kama Eva Carneiro alichangia kuchelewesha muda.
Eva Carneiro ambaye anaripotiwa kuondoka rasmi Chelsea anamtuhumu kocha wa klabu hiyo Jose Mourinho kuwa alimfanyia ubaguzi wa kijinsia wakati akitoka uwanjani kumtibia Eden Hazard, stori kutoka 101greatgoals.com na moroccoworldnews.com zinaripoti kuwa ushaidi tayari umekabidhiwa kwa chama cha soka Uingereza FA, uchunguzi ulifanywa kwa kumtumia mtafsiri wa kireno na kubaini kuwa Mourinho alimfanyia ubaguzi wa kijinsia Eva Carneiro.
Eva Carneiro ambaye toka aingie katika malumbano na kocha huyo wa kireno hajawahi kukaa katika benchi na kuendelea kutoa huduma, Jumanne ya wiki hii alitangaza rasmi kujiuzulu kuendelea kuwa daktari wa Chelsea, kosa alilofanya Mourinho litampelekea kufungiwa mechi tano kwa sababu ya kumtusi Eva Carneiro kwa kutumia lugha ya kireno “filha de puta” ambapo maana yake ni kuwa binti wa mwanamke muhuni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment