Popular Posts

Monday 7 September 2015

amaxc blog: nnazo pcha 40 za rock city shopping mall!!! a.k.a new mliman city .. #$! jionee hii kali

Kazi yangu ni kuhakikisha haupitwi na chochote na hapa stori ninayotaka kukusogezea ni hii kutokea  (Mwanza) kuhusiana na ule ujenzi wa Mall inayoitwa Rock City Shopping Mall aka Mlimani City yetu.. Sasa good news ni kwamba wakati wowote inatarajiwa kuanza kufanya kazi kwenye jiji hilo, ripota wa amaxc™ amefanikiwa kuzipata hizi picha 30 za muonekano wa Mall hiyo kwa ndani na nje.
Mlango wa kuingilia kwenye Mlimani City yetu(mwanz town) .

Mtu wangu yaani pia wana lift zinazotumia Umeme. . .
. Naambiwa haya mawe ni kama utambulisho wa jiji la Mwanza ambayo wameamua kuyaweka katika mlimani City yao.
. Watu wangu mnaomiliki magari hii ndio sehemu ya Parking. .
Naambiwa hizi lift mbili zitakuwa zinatumika kubebea mizigo au bidhaa mbalimbali.
Naaimbiwa hii ni sehemu itakayohusika na micheo mbalimbali ya watoto.
. Mtu wangu ukiwa kwa juu kwenye Mlimani City yao kama unavyoona mbele unaonekana uwanja wa CCM Kirumba. Watu wangu mtakaokuja kununua bidhaa mbalimbali basi hii ndio parking ya nguvu. .
Hii ni camera ilivunjwa kwa nje ili kuhakikisha kuangalia kila kitu kinachoendelea kwenye Mlimani City yao.

No comments:

Post a Comment