Popular Posts

Thursday 17 September 2015

amaxc blog: je ilikupita hii!!! ya bondia aliye fariki dunia baada ya pambano kumalizika???? jionee sababuzzz

Michezo:!! Taarifa ikufikie ya bondia kufariki baada ya pambano kumalizika..
Bondia Davey Browne ambaye ni raia wa Australia amepoteza maisha siku nne baada ya kupoteza fahamu kufuatia kipigo cha ‘knock out’ katika pambano la ngumi huko Sidney. Mwanamasumbwi huyo mwenye miaka 28 alidondoka chini baada ya kupigwa na mpinzani wake Carlo Magali wa Ufilipino katika raundi ya 12 katika uzani wa super-featherweight ijumaa iliyopita. Baada ya kupoteza fahamu alipelekwa hospitali katika chumba cha wagonjwa mahututi hadi mauti ilipomkuta

No comments:

Post a Comment