Popular Posts

Saturday 19 September 2015

amaxc blog: je nymbo mpya ya willow smith imekupita!! "why dont you cry?" jionee hii hapa live video yake...

Entertainment: Mpya ya Willow Smith imekupita? ‘Why Don’t You Cry’ imenifikia na video yake ipo hapa tayari! (Video).
Willow Smith kwenye headlines za burudani… baada ya kukaa kimya kwa muda kidogo msanii huyo mwenye miaka 14 amerudi tena na kama kawaida na burudani nyingine! Wimbo wake mpya unaitwa ‘Why Dont You Cry’ na video yake imetoka tayari, kama bado haijakufikia basi karibu uitzame hapa chini

No comments:

Post a Comment