Popular Posts

Saturday 5 September 2015

ratiba ya michuano ya AFCON 2017 weekend hii iko hapa mtu wangu!!!!..

Hatua ya kuwania kufuzu michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON2017) kundelea weekend hii katika viwanja tofauti tofauti barani Afrika, Nimeona nikusogeze na ratiba ya mechi za Septemba 5 na 6 za michezo kadhaa ya hatua ya hii. Ratiba ya mechi za Jumamosi ya Septemba 5 1. Tanzania Vs Nigeria 16:30 2.Liberia Vs Tunisia 19:00 3. Sudan Kusini Vs Equatorial Guinea 16:30 4. Comoros Vs Uganda 15:00 5. Botswana Vs Burkina Faso 17:00 Sao Tome and Principe Vs Morocco 18:30 Rwanda Vs Ghana 16:30 Seychelles Vs Ethiopia 15:30 Burundi Vs Niger 16:30 Namibia Vs Senegal 16;30 Mauritania Vs Afrika Kusini 20:00 Guinea-Bissau Vs Congo 19:00 Ratiba za mechi ya Jumapili Septemba 6 Madagascar Vs Angola 14:30 Central African Republic Vs DR Congo 17:00 Benin Vs Mali 18:00 Kenya Vs Zambia 16:00 Libya Vs Cape Verde 20:00 Chad Vs Misri 17:30 Mauritius Vs Msumbiji 14:00 Sierra Leone Vs Ivory Coast 18:00 Lesotho Vs Algeria 16:00 Swaziland Vs Malawi 16:00 Zimbabwe Vs Guinea 16:00 Gambia

No comments:

Post a Comment