Popular Posts

Monday 7 September 2015

amaxc blog: super star mkali wao diamond platnumz ametaja tarehe rasm ya kuonyesha face ya mtoto wake(tiffah) live!!!&&

Diamond Platnumz ametaja tarehe atakayoonekana sura mtoto wake (Tiffah) Kama umekua ukifuatilia akaunti za Diamond Platnumz na mpenzi wake Zari tangu mtoto wao Tiffah azaliwe utakua umekutana na picha nusu ambayo anaonekana mtoto wao huyo na sehemu kubwa hua ni kuanzia kwenye kidevu kushuka chini.
tifHii imekua ni style nyingine ya mastaa wetu kadhaa kuchukua mfumo huu wa kutowapost au kuwaonyesha watoto wao hadi umri fulani ufike,Diamond Platnumz leo ametaja siku ambayo mtoto wao huyo ataonekana sura kwa wale ambao bado hawajapata nafasi ya kumuona. On the 20th of September 2015 my Daughter’s face @princess_tiffah will be Exclusively shown for the first time to the public… would you like to know which companies have sponsored her first video and photo??? Apart from being @MsasanicityMall and @PuguMall #BABYSHOP brand Ambassador would you like to know which companies have endorsed her??? Stay with me!!! #TIffahsDay Coming Soon..% (Tareh 20|09|2015 kwa mara ya kwanza sura ya Binti yangu @princess_tiffah tutaiweka hadharani…je ungependa kujua ni Kampuni gani imedhamini Video na Picha yake ya kwanza????.. Mbali na kuwa balozi wa #BABYSHOP ya @Msasanicitymall & @Pugumall ungependa kujua amekuwa Balozi wa nini tena???.. uskae mbali na mimi… #TiffahsDay inakaribia..%) #ProudDad A photo by team leader

No comments:

Post a Comment