Popular Posts

Thursday 17 September 2015

amaxc blog: ze super star diamond platnumz!!! kwa mara nyngne ameibuka na tuzo hii.....!!!

Mwaka huu umekuwa mzuri sana kwa mtu wetu Diamond Platnumz kwani amekuwa wa kupokea na kutajwa kwenye tuzo nyingi sana kwa mwaka huu wa 2015 na siku chache zilizopita Diamond Platumz alitajwa kuwania tuzo nyingine tena za kimatatifa MTV EMA 2015 jijini Milan Italy.

No comments:

Post a Comment