Popular Posts

Tuesday 15 September 2015

amaxc blog: lil wayne na aliye kuwa bby wake christina millian waachana!!!?? jioneee sababuzzz livee

Entertainment Lil Wayne na Christina Millian waachana..!? Sababu? Ninayo yote hapa… Baada ya kuachana na mchumba wake miaka miwili iliyopita mwimbaji wa R&B Christina Millian alianza kuonekana sana na rapper Lil Wayne baada ya kujiunga na lebo ya msanii huyo, muda mfupi badaae wawili hao wakaingia kwenye mahusiano ya kimapenzi na mpaka sasa wana zaidi ya mwaka mmoja pamoja. millian4
Christina Millian na Lil Wayne. Lakini leo headlines za wawili hawa ni tofauti kidogo… wapenzi hao wamethibitisha kuwa wameachana toka mwezi uliyopita lakni waliamua kukaa kimya kwanza na kuweka baadhi ya mambo yao sawa kabla kutangaza kwa watu kuwa uhusiano wao wa kimapenzi umeisha.
LOS ANGELES, CA - NOVEMBER 23: Recording artist Lil Wayne (L) and actress/recording artist Christina Milian perform onstage at the 2014 American Music Awards at Nokia Theatre L.A. Live on November 23, 2014 in Los Angeles, California. (Photo by Kevin Winter/Getty Images) Msemaji wa karibu wa watu hao anasema sababu kubwa iliyopelekea kuachana kwao zinatokana na ratiba za wawili hao kubana sana.
millian3 >>>“Wanaachana sio kwamba wanapenda ila ratiba zao zinawabana sana, wanakosa muda wa kuonana na kuwa pamoja, Lil Wayne anafanya sana tour za wasanii wake na za kwake pia na pia anaifanyia kazi album ya Christina Millian… isitoshe hata Christina Millian ana mambo meng, vipindi vya TV, Talk Shows za kuandaa na vingine vingi, so wameona bora waachane lakini sio kwa sababu wamechokana ila ratiba za kazi haziwapi muda wa kuwa pamoja”. <<< Alisema msemaji wa karibu wa mastaa hao.

No comments:

Post a Comment