
Biashara ya utalii ingekuwaje kama Hoteli nyingi zingekuwa zimejengwa kwa mchanga!? Vitu kama umeme na maji vingekuwa vinapatikana kweli?
Nimekutana na stori moja kutoka Netherlands inayoweka headlines nyingi sana kwenye nchi za Uingereza, wenyewe wamekuja na ubunifu mpya kabisa, ujenzi wa hoteli kwa kutmia mchanga!!

sand8
Hoteli hiyo ina kila kitu yani, vitanda, makabati, viti, meza mabafu, vyoo,umeme, madirisha na hata maji ya bomba! Kizuri zaidi kinachopatikana kwenye hii hoteli ni internet mtu wangu, unaambiwa jengo hili lina huduma ya Wi-Fi na watu wanaenjoy hii huduma bila shida yoyote!
Nimefanikiwa kuzinasa picha 9, za muonekano wa nje na ndani wa hoteli hizi! Karibu uzitazame hapa chini mtu wangu, yani ni mchanga mtupu uliotumika!!

mchanga1
Moja ya vyumba kwenye hoteli hii… umeme unapatikana bila shida yoyote pia huduma ya internet ni bure kabisa, urembo unaouona hapa pia ni kazi ya mchanga!

sand4
Muonekano kwa nje… hakuna simenti iliyotumika vyote ni kazi ya mchanga tu mtu wangu!

Baadhi ya urembo uliotengenezwa kwa mchanga.


Sinki la ukutani kwenye ukuta wa mchanga, na maji yanatoka masafi kabisa yani!

Hata huu urembo wa ukutani umetengenezwa kwa mchanga pia.


madirisha na umeme vyote vipo mtu wangu!

vyote ni vya mchanga hadi huu urembo pia!
No comments:
Post a Comment