Popular Posts

Saturday 26 September 2015

amaxc blog: platnumz n balaaa!! azidi kupaa kimataifa zaid!!! na hv juzi kati kapiga bonge la interview na CNN ...jionee here

Diamond akiwa na mwandishi na cameraman wa CNNSio kitu kilichozoeleka kwa shirika la habari maarufu duniani CNN kumfuata msanii wa Afrika nchini mwake kwa ajili ya kumhoji.CNN wametua Dar na kufanya interview na muimbaji wa Nana, Diamond Platnumz. Staa huyo ameshare picha kwenye mtandao wa Instagram na kuandika: Thanks alot @CNN it was a great interview….” Haijulikani kama waandishi hao wa CNN walikuja Dar kwaajili ya interview pekee na Diamond lakini kuna uwezekano mkubwa kuwa wapo nchini kwa ajili ya kuripoti masuala ya uchaguzi na wametumia fursa hiyo kumhoji. Wakati huo Diamond ameshare picha hiyo chini na kunukuu maneno ya John Lennon: When I went to school they asked me what I wanted to be when I grew up, I wrote down HAPPY. They told me I didn’t understand the assignment and I told them they didn’t understand LIFE Happy Maulid … #TheChibus.

No comments:

Post a Comment