Popular Posts

Saturday 5 September 2015

amaxc blog: utata kuhusu mtoto wa platnumz!!!..mama zari amaliza ubishi!!!!!..

Mama mzazi wa Zarinah Hassan ‘The Boss Lady’, Halima Hassan akiwa na mjukuu wake. Kwa mujibu wa ‘yuda’ wa familia ya Diamond (aliomba hifadhi ya jina), mama Zari alitua jijini Dar Jumatatu iliyopita akitokea Kampala bila kufafanua kama alikuja sambamba na Zari au la kwa vile hivi karibuni, mrembo huyo aliripotiwa kuitwa kwao kisa kikiwa ni mtoto huyo. MAMA mkwe wa nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ambaye pia ni mama mzazi wa mzazi mwenza wa staa huyo, Zarinah Hassan ‘The Boss Lady’, Halima Hassan amempigia chapuo msanii huyo kwa kumpa baraka zote kwamba ndiye baba mzazi wa mtoto Latiffah ‘Tiffa’.

No comments:

Post a Comment