Popular Posts

Wednesday 22 July 2015

AMAxc BLOG: SUPERSTAR DIAMOND PLATNUMZ!!! AKIMBIZA KUWANIA TUZO ZA AFRIMMA 2015!!!!

Diamond Platnumz.
MWANAMUZIKI Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ametajwa mara sita katika kuwania Tuzo za AFRIMMA zitakazofanyika huko Dallas nchini Marekani Mwezi Oktoba 2015.

Vipengele anavyowania staa huyo ni pamoja na:
1. Best Artist Of the Year
2. Best Dance Video (Nana)
3. Best Video (Ntampata Wapi)
4. Best East Artist of the Year
5. Best Collaboration (Nana)
6. Song of the Year (Ntampata Wapi)

Msanii huyo pia anawania Tuzo ya Best Inspiration Song kwa Wimbo wa Alive ambao alishirikishwa na Bracket & Tiwasavage.

Wasanii wengine wanaowania tuzo hizo kutoka Tanzania ni Mrisho Mpoto, Ommy Dimpoz, Ali Kiba, Khadija Kopa, Vanessa Mdee, Lady Jaydee na Prodyuza Sheddy Clever

No comments:

Post a Comment