Popular Posts

Monday 20 July 2015

BREAKING NEWS!!!!!!!: MAJAMBAZI WALIO HUSIKA STAKISHARI WAKA MATWA!!!!™

Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema limefanikiwa kuwakamata majambazi watano wanaodaiwa kuhusika na tukio la uvamizi katika kituo cha polisi cha Stakishari kilichopo Ukonga. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova amesema majambazi hayo yamekamatwa Mbagala ambapo katika tukio hilo pia wamekamata pia fedha shilingi milioni 170 na bunduki 16 miongoni mwao ni zile zilizoibiwa katika kituo cha Stakishari.

No comments:

Post a Comment