Popular Posts

Sunday 19 July 2015

AMAxc BLOG: BREAKING NEWS!!! MV KIGAMBONI LAPOTEZA UELEKEO!!!! UPAND WA KGAMBONI!!!!!

Wananchi wakilitazama Mv. Kigamboni baada ya kupoteza mwelekeo na kushindwa kushusha abiria na magari baada ya kutaka kushusha Abiria na magari upande wa Kigamboni* * Baada ya kupakia Abiria na magari upande wa kigamboni likiwemo gari maalumu bla kubebea wagonjwa lilifanikiwa kutoka upande wa kigamboni na blilipofika jirani na gati upande wa Magogoni lilipoteza mwelekeo kwa dakika kadhaa hatimaye kushusha upande wa magogoni. (PICHA ZOTE NA AMAxc)

No comments:

Post a Comment