Popular Posts

Monday 25 July 2016

amaxc blog:* busu ambalo ADELE alimpiga kijana wa NIGERIA..stejini...ndo habari ya mjini..jionee ilivyo kuwa

Adele amemsuprise kijana mwenye miaka 21 kutoka Nigeria kwenye show yake ya Vancouver, Canada.

adele-165279

Kijana huyo anayetumia jina la Wisdom kwenye mtandao wa Snapchat alijikuta akikosa la kuongea baada ya kujikuta akiwa juu ya steji huku mbele yake akiwa amesimama na hitmaker wa ‘Hello’.

Nigerian-man-with-Adele

Adele alimbusu kijana huyo na kisha alitania kwa kusema, “Oh my god, I haven’t been kissed by another man in like six years! He just snogged me!”

Tazama video hapa

No comments:

Post a Comment