Blogu ya Wananchi Wednesday, August 19, 2015 TUJIKUMBUSHE HABARI KAMILI YA KAMATI TEULE YA BUNGE YA RICHMOND TAARIFA HII HAPA LIVE YA MWAKA ...
Sunday, 16 August 2015
amaxc blog: hey haya hapa matokeo ya arsenal na crystal!!! pichazzzz na videooozzz
Crystal-Palace-vs-Arsenal-Live-Score-EPL-16-Aug-2015
August 16 ilikuwa mgeni wa klabu ya Crystal Palace mchezo ambao ulimalizika kwa klabu ya Arsenal kuibuka na ushindi wa goli 2-1 magoli yakifungwa na Olivier Giroud dakika ya 16 kipindi cha kwanza na goli la pili mchezaji wa Crystal Palace Damien Delaney alijifunga dakika ya 55 ya mchezo, goli pekee la Crystal Palace lilifungwa na Joel Ward dakika 28
***ligi bado n ngumu!! so stay tuned to amaxc blog for hot updates!!!
No comments:
Post a Comment