Blogu ya Wananchi Wednesday, August 19, 2015 TUJIKUMBUSHE HABARI KAMILI YA KAMATI TEULE YA BUNGE YA RICHMOND TAARIFA HII HAPA LIVE YA MWAKA ...
Monday, 24 August 2015
amaxc blog: christian ronaldo amenunua huu hapa mjengo!!!! huko new york!!! marekan
Michezo
Cristiano Ronaldo kanunua jumba hili la kifahari New York (pichaz)
Mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno ambaye anaichezea klabu ya Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo amefanikiwa kununua jumba la kifahari lililopo katika mji wa New York Marekani kwa dola za kimareka milioni 18 ambazo ni zaidi ya bilioni 30 za Kitanzania.
Ronaldo-main
Inaripotiwa kuwa wazo la Ronaldo kununua nyumba hiyo alilipata kutoka katika novel ya ’50 Shades of Grey’ hata hivyo ununuaji wa nyumba hiyo kwa Ronaldo unaongeza uvumi kuwa huenda ana mapngo wa kwenda kucheza katika Ligi Kuu Marekani kabla hajastaafu soka.
No comments:
Post a Comment