Popular Posts

Tuesday 25 August 2015

breaking newzzzz!!! jeshi la polisi limepiga marufuku wagombea uraisi kuhatarisha maisha ya wananch kwa ziara za gafla!!! duh makubwa jionee mwenyew mambo hayooo!!!

PA LIVE!! 11 mins · Polisi wamepiga marufuku wagombea Urais kupanda daladala. Nini maoni yako? East Africa Television (EATV)'s photo. East Africa Television (EATV) ‪
#‎HABARI‬ KITENDO KAMA CHA LOWASSA KUPANDA DALADALA NA KUSHTUKIZA WANANCHI NI MARUFUKU- KOVA Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limepiga marufuku wagombea urais kufanya vitendo vinavyoweza kuhatarisha usalama wa wananchi. Akiongea leo Jijini Dar es Salaam, Kamanda wa Kanda hiyo Suleiman Kova ametolea mfano kitendo cha jana cha mgombea urais wa Chadema Mhe. Edward Lowassa cha kufanya ziara ya kushtukiza kwa wananchi na kupanda daladala. Amesema ziara hiyo ya Mhe. Lowassa na mgombea mwenza wake Juma Duni Haji walitembelea Gogo la Mboto, ingeweza kuhatarisha usalama wa wananchi kwa kuwa watu wengi walikusanyika na wengine kuacha kazi zao chanzo.........east africa television

No comments:

Post a Comment