5. Santiago Cazorla González huyu ni kiungo wa kimataifa wa Hispania anayeichezea klabu ya Arsenal ya Uingereza yumo katika hii list ya wachezaji wafupi ana urefu wa futi 5’6,
4. Huyu ni kiungo mshambuliaji wa Italia anayeichezea klabu ya Sunderland ya Uingereza Emanuele Giaccherini kuna kipindi aliwahi kuingia katika headlines ya kung’atwa na Luis Suarez katika michuano ya komne la dunia 2014 iliyofanyika Brazil, ana urefu wa futi 5’5.
Emanuele+Giaccherini+Swansea+City+v+Sunderland+g8Tv-_lyM1hl
3. Vurnon Anita kutokea katika klabu ya Newcastle United ya Uingereza amezaliwa Uholanzi ana urefu wa futi 5’6.
2.Aaron Lennon huyu ni muingereza anakipiga katika klabu ya Tottenham Hotspurs ya Uingereza ni mfupi laikini ana uwezo mkubwa wa kukimbia yaani spidi urefu wake ni futi 5’5.
1. Nathan Dyer ni winga mshambuliaji wa klabu ya Swansea City ya Uingereza, raia wa Uingereza ana urefu wa futi 5’5.
5.Per Mertesacker ni beki wa kati wa klabu ya Arsenal ya Uingereza, raia wa Ujerumani ana umri wa miaka 30 ana urefu wa futi 6’6 ni moja kati ya mabeki warefu Uingereza.
4. Thibaut Courtois ni golikipa wa Chelsea ambae amewahi kucheza klabu ya Atletico Madrid ya Hispania kwa mkopo kabla ya kurudi katika klabu ya Chelsea, mzaliwa wa Ubelgiji ana urefu wa futi 6’6 1/2.
3. Peter Crouch ni miongoni mwa wachezaji wa kiingereza warefu zaidi kulingana na umbo lake sio mpenzi wa matumizi wa magari ya chini siku zote hupenda kutumia magari ya juu amewahi kucheza katika vilabu vya Liverpool, Tottenham Hotspurs na sasa Stoke City ya Uingereza ana urefu wa futi 6’7.
2. Fraser Forster ni golikipa wa klabu ya Southampton ana urefu wa futi 6’7, kazaliwa March 17 1988 Hexham Uingereza
1. Costel Pantilimon ni golikipa kutoka Romania na ndiye mchezaji mrefu kuliko wote Uingereza anaichezea klabu ya Sunderland, ana urefu wa futi 6’8.
HELLOW!!! WELCOME THIS IS AMAxc THE GLOBAL MEDIA AND NEWS SUPPLIERS!!! amaxc.blogspot.com
Popular Posts
-
Duh hii ni aibu kwelikweli kuona msomi ambaye anategemewa kama kiongozi wa kesho kufanya mambo ya ajabu namna hii .. haya ni ...
-
Hii ni picha ya moja kati ya wanachuo msichana akiwa hosteli na ..demu huyo sio siri anawachanganya wengi chuo hapo ikiwemo ma lectur....
-
Mrembo mwenye ushawishi mkubwa zaidi kwenye social media hapa Bongo, ambaye alishawahi kujinyakulia taji kubwa zaidi la ulimbwende hapa Bon...
-
Ikiwa leo ndio Uchaguzi wabunge wa Viti Maalum Kupitia Chama cha Mapinduzi Nchini katika Mkoa wa Singida Mgombea Wema Sepe...
-
Hz n baadh ya pcha za shilole akiwa na boy wake!! wakiwa kweny mapoz ya mahab ***** { clik here to see the video wakiwa wanaoga ...
-
john pombe magufuli Edward Ngoyai Lowassa. Uchunguzi uliofanywa na Timu ya Uwazi Mizengwe hivi karibuni na kuihusisha mikoa yote ya Ta...
-
Mwanamke aliye bambwa na sungusungu akifanya mapenzi kwenye kichaka na dereva wa teksi.Richard Bukos na Issa Mnally Mwanam...
-
Hzi n baadhi ya pcha za mastaa tofauti w KIKE hapa tz . sio siri n balaa coz sometmes najiuliza ! do they ril care???? ? ...
-
Kutoka kutangaza kutafuta mume Instagram hadi kukiri kumpenda Uhuru Kenyatta, Ray C anaendelea kutengeneza vichwa vya habari Afrika Masharik...
-
Blogu ya Wananchi Wednesday, August 19, 2015 TUJIKUMBUSHE HABARI KAMILI YA KAMATI TEULE YA BUNGE YA RICHMOND TAARIFA HII HAPA LIVE YA MWAKA ...
Sunday 16 August 2015
amaxc blog: hellow nmekusogezea list ya wachezaji wafupj na warefu katka ligi kuu uingereza!!! jionee pichazzzz
Michezo
Ninayo list ya wachezaji warefu na wafupi katika Ligi Kuu Uingereza (Pichazzzz)
Katika pitapita zangu mtandaoni nimekutana na hii list ya wachezaji warefu zaidi katika Ligi Kuu Uingereza na wafupi zaidi katika Ligi Kuu Uingereza, nimeona nikusogezee Top 5 ya mastaa wa soka warefu zaidi Uingereza na Top 5 ya mastaa wafupi.
Top 5 ya Mastaa wa fupi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment