Popular Posts

Wednesday 26 August 2015

amaxc blog: haya n masharti aliyopewa mario baloteli na klabu ya ac millan!!! jionee ze mambo si mambozz!!!

Michezo Haya ni masharti aliyopewa Mario Balotelli na klabu ya AC Milan August 25 ni siku ambayo mshambuliaji wa kimataifa wa Italia Mario Balotelli ambaye alikuwa akiichezea Liverpool ya Uingereza athibitishwe kujiunga na klabu ya AC Milan ya Italia kwa mkopo wa muda mrefu. Balotelli alijiunga na AC Milan ikiwa ni msimu mmoja umepita toka ahamie Liverpool akitokea klabu ya AC Milan
Sasa August 26 zimetoka taarifa mpya kuhusu vipengele vilivyomo ndani ya mkataba wa Mario Balotelli wa kujiunga na AC Milan, imethibitishwa kuwa, kuna kipengele ambacho kinamzuia kuweka Style za nywele za ajabu kuvuta sigara ili kulinda afya yake, afike mazoezini kwa wakati, kunywa pombe na kwenda Club bila mpangilio.
Kwa mujibu wa gazeti la dello Sport linaeleza kuwa afisa mtendaji mkuu wa klabu ya AC Milan Adriano Galliani ameeleza kuhusiana na kipengele hicho kuwemo kwenye mkataba, Balotelli amewahi kukutwa na muhudumu wa treni akivuta sigara katika choo cha treni.
Haya ni baadhi ya makosa ambayo Balotelli aliwahi kufanya na faini alizolipa
duh huyu jamaaa ka wabongo!!! hv

No comments:

Post a Comment