Popular Posts

Monday 24 August 2015

amaxc blog: duh baada ya kuifungia chelsea goli!!!! hili hapa limemrudisha pedro barcelona!!!!.. jionee photozzzzz

Michezo Baada ya kuifungia goli Chelsea jambo hili limemrudisha Pedro FC Barcelona (picha) Winga mshambuliaji mpya aliyejiunga na klabu ya Chelsea siku chache zilizopita akitokea katika klabu ya FC Barcelona ya Hispania Pedro Rodriguez August 23 alicheza mchezo wake wa kwanza akiwa na klabu yake mpya ya Chelsea na kufanikiwa kufunga goli. -Pedro_spoke_at_Barca_s_training_ground_to_say_farewell_to_all_th-a-114_1440420542197 (1) Ndani ya masaa 24 toka Pedro afunge goli amerudi katika klabu yake ya zamani ya FC Barcelona kuaga rasmi wachezaji wenzake wazamani, Pedro alipewa muda wa kwenda kuaga katika klabu ambayo ameitumikia kwa takribani miaka
****duh hii balaa
-Andres_Iniesta_left_Lionel_Messi_centre_and_Sergio_Busquets_were-a-117_1440420542234 Pedro akiwa katika press room ambako kulikuwa na wachezaji zaidi ya 20 wakimuaga akiwemo Messi, Neymar na Gerard Pique Siku kadhaa zimepita toka Pedro Rodriguez ajiunga na klabu ya Chelsea akitokea klabu ya FC Barcelona ya Hispania kwa dau la pound milioni 21.4. Hivyo alirudi Hispania kuaga wachezaji wenzake ambao wengine ameishi nao katika kipindi cha zaidi ya miaka 6.

No comments:

Post a Comment