Blogu ya Wananchi Wednesday, August 19, 2015 TUJIKUMBUSHE HABARI KAMILI YA KAMATI TEULE YA BUNGE YA RICHMOND TAARIFA HII HAPA LIVE YA MWAKA ...
Thursday, 27 August 2015
amaxc blog: duh jionee mafurikozzzzz ya kina mama wa ukawa na lowassa live!!!! now
Ni mkutano wa wanawake wa ukawa na mh
lowasa hapa jengo la millenium TOWER Dar
es salaam,hizi ni picha za awali,hizi ni
picha za awali ambazo nimekuwekea hapa
kutoka katika mkutano huo.LOWASA bado
hajawasili hapa ila idadi ya wanawake
waliojitokeza hapa ni wengi sana kiasi cha
kutokutosha katika jengo hili na sasa watu
wanasubiri hatma yao kama watahamisha
mkutano au italazimu wengine kuwa
wapole na kusubiri nje kidogo.
Picha kamili za tukio hili zitakujia baadae
kadiri muda unavyozidi kwenda msomaji
wetu
No comments:
Post a Comment