Popular Posts

Tuesday 25 August 2015

amaxc blog: mchezaji wa ligi kuu uingereza mbaloni kwa kosa hili!!!!! jionee ze majangazzz here!!!

Asilimia kubwa ya sheria za kila nchi duniani huwa haziruhusu mtu kumtishia silaha au kumwambia maneno ambayo yatatafsirika kama kumtishia amani ya kumuua ni kosa kisheria hata kama umeongea kauli hiyo bila kumshikia silaha wala kitu chochote.
Mshambuliaji wa kimataifa wa Senegal anayeichezea klabu ya West Ham United ya Uingereza Diafra Sakho anashikiliwa na polisi Uingereza baada ya kumtishia mpenzi wake kumuua. Diafra Sakho alikamatwa akiwa nyumbani kwake Hornchurch.
Diafra Sakho akiwa na mpenzi wake Mya Polisi bado hawajaweka wazi chanzo cha tatizo hilo. Sakho ambaye amejiunga na West Ham United ya Uingereza mwezi August mwaka jana akitokea katika klabu Metz ya Ufaransa na ameichezea West Ham United jumla ya mechi 26 na kufunga magoli 12.watu wengne bana hawajisomi!!!! hey sio maneno yangu hayo..

No comments:

Post a Comment