Popular Posts

Tuesday 18 August 2015

amaxc blog: ugonjwa wa kipindupindu live!!!! dar!!! idadi ya waliofarik yazd ongezeka!! mkuu wa mkoa afunguka haya.....

Mkuu wa mkoa wa Dar, Mh. Secky sadik anatangaza rasmi sasa hivi live tbc kuwa mkoa wa Dar kuna ugonjwa wa kipindupindu, watu 24 wamelazwa baada ya kubainika kuwa na ugonjwa huo. Watu wawili (mwanamke 1 na mwanaume 1) wameshakufa. Unasambaa kwa kasi ktk wilaya ya Kinondoni kwenye kata za kijitonyama, kimara, tandale na nyinginezo na kufanya jumla ya kata 9. JIHADHARI KULAKULA OVYO MITAANI, WEKA MAZINGIRA YAKO SAFI NA PIA NAWA MIKONO YAKO MARA KWA MARA. Kwaufupi Kipindupindu kinatokana na kula chakula chenye uchafu unaotokana na kinyesi.

No comments:

Post a Comment