Popular Posts

Tuesday 25 August 2015

amaxc blog: rasmi juventus wamemsajili nyota huyu kutoka chelsea!!!!! unamjua n nan huyo???!!! klik here 4 more infomatnzzzz.

Michezo::: Rasmi Juventus wamsajili nyota huyu kutokea Chelsea Klabu ya Juventus ya Italia bado inaongeza nguvu katika kikosi chake kwa kusajili wachezaji kadhaa ili kuweza kuendana na kasi ya michuano mbalimbali itakayoshiriki msimu huu. Juventus ambayo imeondokewa na nyota kadhaa kikosini mwake ikiwemo Carlos Tevez na Andre Pirlo imeongeza nguvu katika kikosi chake.
Juventus August 25 wamekamilisha usajili wa mkopo wa muda wa mrefu kwa aliyekuwa winga wa klabu ya Chelsea Juan Cuadrado ambaye alijiunga na Chelsea mwaka 2015 akitokea katika klabu ya Fiorentina ya Italia.
Pichaz Juan Cuadrado alivyowasili Italia August 24 kabla ya August 25 kutangazwa kusajiliwa asante san mtu wangu na endelea kupata updates nyiiing na hotzzz kutoka amaxc pia tarajia huduma bora na muonekano mpya wa amaxc blog from the next month!! but if god wishes!!!

No comments:

Post a Comment